Смотреть в Telegram
Siku ya kuvunja kuzingirwa kwa mji wa Leningrad Ndugu wapendwa! Kituo cha Sayansi na Utamaduni cha Urusi hapa Dar es Salaam kinakualika kwenye hafla ya kumbukizi katika historia ya nchi ya Urusi ambapo tarehe maalumu iliwekwa ili kukumbuka Siku ya kuvunjwa Kuzingirwa kwa mji wa Leningrad. Wote mnakaribishwa. Hakuna kiingilio 📅 Tarehe: 27 Januari, saa 4 asubuhi 📍 Barabara ya Sea View, nyumba namba 1, simu: +255 22 213 6578 **** День снятия блокады Ленинграда Мы дадим вам попробовать ленинградский хлеб, покажем какой маленький кусочек получал человек в городе, заблокированном фашистами. Расскажем о подвиге советских людей. Приглашаем всех! Вход свободный. 27 января, 10:00 г. Дар-эс-Салам, улица Си Вью, дом 1, тел.: +255 22 213 6578
Love Center - Dating, Friends & Matches, NY, LA, Dubai, Global
Love Center - Dating, Friends & Matches, NY, LA, Dubai, Global
Бот для знакомств